naomba kujulishwa kuhusu mh waziri mwigulu

MADIBA MANDELA

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
503
398
labda ni mimi sielewi eti wale waliotumika na rc wa dar kuvamia claus kama kweli ni askari na wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani why mh anaehusika ajatoa tamko wala chochote
 
Eti Mawingu hawakuripoti tukio kituo chochote cha wavaa kaki, hivyo mvaa kaki mkuu wa paradiso hii ya malaika mdogo hana OFISHO NOTISI

Kama vivyo ndivyo, mwanasi-hasa itamfikiaje????
 
Back
Top Bottom