Naomba kujulishwa kuhusu maisha ya Songea, Ruvuma

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
253
500
Wakuu naomba kujua machache kuhusu huu mji naweza kuwa kule kwa takribani miezi mitatu. Kwanza naomba kujua nauli za Bus kutoka Dar es Salam mpaka Songea?

Je, maisha mji ule yapoje?

Mtandao gani wa simu unatumika zaidi?

Fursa za uwekezaji zikoje haswa katika biashara?
 
Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
1,933
2,000
Uzi ushaaribika kwa comments za kipuuzi.

Songea Ni mji ambao maisha hayana gharama. Asilimia kubwa ya wakazi wa manispaa ya Songea huamka asubuhi na kupanda hiace kwenda mashambani wakiwa na vyakula vyao na jioni hurudi. Hapa namaanisha ndo manispaa pekee niliyoishuhudia kuwa na wakazi wengi wakulima, kuliko nyingine nilizowahi kuishi.

Wafanyabiashara wakubwa kule ni wageni siyo wenyeji. Wakinga, wabena, wachaga.

Wenyeji wake ni wangoni na wamatengo kidogo na wanyasa, wengi ni wakristo tena wakatoliki. Kipindi Cha kwaresma Yesu akifa hulia kabisa na kuomboleza kama misiba mingine.

Kipindi naishi kule miaka ya 2006 kulikuwa na tabia ya kuchomana visu ukichukua demu ambaye si wako mwenyewe akastukia. Mitaa ya lizaboni, matarawe, kibulang'oma na mji mwema ndo walikuwa na tabia hizo. Washkaji zangu wawili walichomwaga visu kwa kutembea na madem za watu.
 
Asante kwa taarifa uzi haujaribika taarifa zote ni muhimu si unajua kazi na dawa
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,006
2,000
maisha kule ni kawaida sana,vyakula bei nafuu,mtandao unaotumika sana sifahamu ila mimi nilikuwa natumia Tigo au halotel,ni pa kawaida sana,maeneo yaliochangamka ni msamala nk
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,006
2,000
Yale mambo chini ya kiuno naskia wao ni ma t.o (Tanzania one)

kuna dada anaitwa Tatiana ndio alikua mtz wa kwanza kuweka picha za uchi mitandaoni alikua anaishi hapo songea 2017-18 watu walimuhonga verossa,saivi yupo ulaya kwa ujuzi wake kati kati ya miguu.
kuna mwingine amehongwa nyumba,gari aina ya verossa afu ni binti ana miaka 19 tu,yupo hapo songea yani kwa kifupi watoto wa kule wana maendeleo kuliko watu wazima
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,285
2,000
kupo fresh tu aman kmaa yote, labda pengine ungefunguka kwa ndani zaidi labda unategemea vitu gani utavikuta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom