Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,929
- 3,171
Visa imekuwa ngumu balaa especially kwa mataifa makubwa Kama marekani wameongeza vikwazo njia rahisi inayotumika kwa sasa ni kupitia NGO na churches
Dear huko kuna madili kibao uwe na ela kidogo tuu mkononi (no free meal in Africa ) jaribu makanisa Kama Romani catholic na mengineyo !
NGO za wamama na vijana kuna conferences, seminars mambo Kama izo unachomekewa mambo yanakuwa mepesi maana watakukingia kifua
Pia vyama vya michezo as in kutoka kitaifa kimichezo (hapa michezo ambayo ni unpopular huku bongo ) karate , sarakasi etc
Huku hutoi ela nyingi Kama kwa agent ! Cha msingi kuwa na pesa yako mkononi anza tafiti mwenyewe mdogomdogo kwa walengwa hao hapo juu !!
Kuwa makini all the best mama
Sent using Jamii Forums mobile app