Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,321
2,000
Ushawahi kusikia mtu anaenda brazil kutembea au kufanya kazi! Aise utarudi huna nguo kamanda..sikushauri uende, utayakumbuka maneno yangu...ni heri uende nchi zilizostaarabika kama vile Argentina, Canada, Uingereza, Singapore, Malaysia, Ethiopia au nchi za uarabuni.

Huu ndo ukweli mtupu 100%. Tena nakazia hapo, kama lengo lake ni kwenda kufanya kazi Brazil basi atakuja kujuta maamuzi yake.
 

Segito wa Kalenga

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
603
1,000
Sisi ngozi nyeusi mbona tunapenda kukatishana tamaa namna hii???mtu kauliza swali mwingine anajibu sijui vianzi vitamu imekuaje?mnachoshaga sana apo tu.ndakusaidia kimawazo njoo pm.japo sio mwenyeji huko lakini njia za chini nazimanya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom