Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

NB:KAMA UNAKUJA HAPA KUNIPA WOSIA,SIJUI KUNIONYA SITAKI.NIMESHAAMUA NASAFIRI,NITASAFIRI.VYOVYOTE ITAVYOKUA NITASAFIRI.PLEASE SITAKI MAWOSIA SIJUI NITAKUFA WAT WAT.ACHA NIFE NI FAMILIA YANGU NDIO ITAYOFILISIKA SIO YAKO.NIACHENI NIENDE MBONA HIVYO??UKINIJIA PM KUNIPA WOSIA NAKUANIKA HAPA.SITAKI HIZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo. Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?

Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.

Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni

Boss unataka ukale Totoz za kibrazil, hatari sana.
 
Ndugu jifunze kwanza, tafuta taarifa za kutosha suala ulilouliza hukupaswa kuuliza watu maana hayo yote ulitakiwa kuyajua kabla hujaamua kuuliza.

Mm niliwahi kufika Brasil mwaka 2014, nakumbuka kulikuwa kunamaandalizi ya mashindano ya kombe la Dunia kama sikosei, ila mm sikuenda kushughudia michuano hiyo nilikwenda kwa dhamira nyengine na nashkuru nilifanikiwa na kurudi zangu Tz. Kwaiyo nitajaribu kushare taarifa chache nlizonazo walau tujuzani, pengine zinaweza kuwa bado hazijapitwa na wakati.

Sawa, ni hivi ukitaka kwenda Brasil usitumie South African Airways nakushauri utumie Emirates Airlines hii ni kwasababu ukitumia shirika la ndege la South wataanza kutilia mashaka sana kuhusu dhamira ya safari yako kutokana na ongezeko la vijana wanatumika kusafirishia madawa kutoka ama kuingia Brasil wanatumia Shirika la ndege la South. Hivyo nilichogundua shirika la ndege la Emirates sio mara nyingi kutumia na wabeba madawa sijui kwa nn.

Pili binafsi nnampanga wa kuingia Canada ila si kwanamna unayopanga ww, nakushauri kama unataka kuingia Canada jipange vizuri, tafuta taarifa kwa vyanzo vinavyoaminika halafu tafuta wataalamu wanajua kuandaa nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya uombaji wa viza wakuongoze vyema. Katika hili nakushauri ujiandae kifedha kwa sababu kila hatua inahitaji fedha kufanikiwa, usighofu kutumia fedha ila kuwa makini na kudeal na waru wasioaminika. Visa zinatoka ila watz tunatakiwa tujipange vizuri kabla hatujaingia pale kituo cha kuombea visa cha iom Msasani peninsula kituoni ofisi za IOM "vfs global tanzania".

Nakushauri usizunguuke kote huko, jipange utobolee palepale IOM Visa Centre.

KILA LA KHEIR MKUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anazunguja sana kwanini asiende Bahamas au caribien island yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NB:KAMA UNAKUJA HAPA KUNIPA WOSIA,SIJUI KUNIONYA SITAKI.NIMESHAAMUA NASAFIRI,NITASAFIRI.VYOVYOTE ITAVYOKUA NITASAFIRI.PLEASE SITAKI MAWOSIA SIJUI NITAKUFA WAT WAT.ACHA NIFE NI FAMILIA YANGU NDIO ITAYOFILISIKA SIO YAKO.NIACHENI NIENDE MBONA HIVYO??UKINIJIA PM KUNIPA WOSIA NAKUANIKA HAPA.SITAKI HIZO

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kelele wewe komaa ujenge Taifa lako kwa manufaa ya wajukuu zako, huko uendako tayari babu zao walishafanya kitu kwa manufaa ya wajukuu na vitukuu vyao sasa wewe huku unataka future ya wajukuu zako akujengee nani??

Kukimbilia kwenye mataifa yaliyoendelea kwa kuvutiwa na urithi wao ni dalili za kupenda mteremko, tupo Bongo hapa wenzio tunakaza jua mvua ili wajukuu zetu wakute miji iliyoendelea....
 
Je huu ni ushauri au maoni??kama huna something positive please ruka huu uzi.Nikamatwe kwa lipi??unaniona wa kuja au??pita vile tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa, dada unaonekana una hamu sana na safari ya SAO PAULO, Brazil kutamu jamani.

Nakumbuka Waghana walioenda kuangalia kombe la dunia 2014 walitaka kubaki kama wakimbizi wakisingizia kwao kuna vita za wenyewe kwa wenyewe.

Kule maisha matamu kama una hela, fukwe nzuri, vyakula cheap, starehe za kutosha.

Anyway, nakutakia kila la kheri na ufanikishe safari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom