Naomba kujulishwa hii ni rushwa au Takrima

gen parton

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
642
407
Tupo hapa Mwanza mitaa ya Nyasaka mtaani kwetu kuna kipindi tuliandamwa na wezi wavunjaji nyumba na kuiba tukaanzisha kikundi cha ulinzi kwa kuwalipa kila mwezi zaidi ya 2m , ila hapa mtaani kuna Askari polisi huwa anajitoa sana kila litokeapo tukio usiku huwa frontline na hutusaidia sana ,
Ndipo wanajumuiya hii ya Nyasaka wakaona ni vema tumnunulie chombo cha usafiri yaani pikipiki na akabidhiwe iwe yake binafsi ,
Imenunuliwa kupitia michango binafsi ya wadau hapa mtaani ,
Swali
1, hii tuite rushwa au takrima ?

2, mtumishi wa umma anapopewa zawadi huu ni hatua zipi za kufuata?

3, Je hii pikipiki itakua mali yake binafsi au mali ya kituo alichopo

4, Akihama atahama nayo au ataiacha kituoni alipo

5, Ni lazima amjulishe mwajiri ?

Naomba kuelimishwa katika hili kwa wenye uelewa wa sheria tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mpo wangapi mpaka mmekosa hekima na busara ya kuhandle hili.

Kama amejituma ni amejituma yeye kama yeye, hata angepatwa na madhara angeachishwa kazi maana mwajiri wake hana taarifa na hiyo kazi anayofanya.

Kwahiyo hilo ni suala lenu binafsi, nunueni pikipiki andikeni jina lake au jina la kikundi kisha mtoe umiliki wa hiyo pikipiki kutoka ktk kikundi kwenda kwa huyo mtu.

Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo hapa Mwanza mitaa ya Nyasaka mtaani kwetu kuna kipindi tuliandamwa na wezi wavunjaji nyumba na kuiba tukaanzisha kikundi cha ulinzi kwa kuwalipa kila mwezi zaidi ya 2m , ila hapa mtaani kuna Askari polisi huwa anajitoa sana kila litokeapo tukio usiku huwa frontline na hutusaidia sana ,
Ndipo wanajumuiya hii ya Nyasaka wakaona ni vema tumnunulie chombo cha usafiri yaani pikipiki na akabidhiwe iwe yake binafsi ,
Imenunuliwa kupitia michango binafsi ya wadau hapa mtaani ,
Swali
1, hii tuite rushwa au takrima ?

2, mtumishi wa umma anapopewa zawadi huu ni hatua zipi za kufuata?

3, Je hii pikipiki itakua mali yake binafsi au mali ya kituo alichopo

4, Akihama atahama nayo au ataiacha kituoni alipo

5, Ni lazima amjulishe mwajiri ?

Naomba kuelimishwa katika hili kwa wenye uelewa wa sheria tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
kama kapewa na wana CCM iyo ni rushwa
 
Nyuzi nyingine za kipumbavu. Ni kma vile iyo pikipiki aliyopewa askar imekuuma sana. Na inawezekana ulipiga vita sana kutoa michango kuchangia iyo pikipiki.

Unabidi uchunguzwe, unaweza kuwa kati ya wale wezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeingia kwenye page yako nilidhani naongea na mtu wa maana kumbe pumbaf.u f*la flani nimeuliza kuongeza uelewa unajibu utumbo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom