Naomba kujulishwa bei za kufungiwa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujulishwa bei za kufungiwa umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ase, Apr 17, 2011.

 1. ase

  ase Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wakuu samahan naomba kwa watu wenye uzoefu na mambo ya umeme.hivi ukishafanya wiring na ukalipa ela ya saveyer.na kama nguzo ipo karibu na nyumba hivi hapo kwa kawaida uwa wanalipisha sht ngapi?
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Utalipa laki 400,000 ya TANESCO na laki 100,000 ya rushwa ili ufungiwe fasta!!!!
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2016
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,930
  Trophy Points: 280
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2016
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,930
  Trophy Points: 280
  Hapo Uliposema Atalipa Laki Nne Na Moja Ya Rushwa
   
 5. LEWANGANGUMU

  LEWANGANGUMU JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2016
  Joined: Feb 19, 2016
  Messages: 282
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  kama yupo kijijini ni nafuuu sanaaaaaaaaa

  kuna mpango wa REA vjijin
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2016
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,784
  Likes Received: 20,719
  Trophy Points: 280
  300,000/-
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2016
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,930
  Trophy Points: 280
  Kwasasa Bei Ni Kuanzia Nguzo Moja Ni Laki Tano Kama Sijakosea.
   
 8. wakusoza

  wakusoza JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2016
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 268
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  kama unajiran yako kavuta bas ww kuta umelowa kwake ila ukilipia leo utafungiwa mwakan miezi ya katkat
   
Loading...