Naomba kujulishwa bei ya Abbott ya Physics O level

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Natanguliza shukrani.

41BXHD0T9EL._AC_SY1000_.jpg
 
Ipi bora 1st edition na latest??
Ukinunua 1st edition hutoelewa 'chochote' mle wametumia vipimo vya UK kabla hawajaanzisha SI unity.
Nikiwa form one, mwaka 1999, niliwahi kubambikwa Abbot 1st edition, kwa Tsh elfu 3 mia tano.. Niliteseka nayo!
Mle vipimo ni pound(lb), yard, foot nk.... Mambo ya meter, kilogram n.k hayamo.
 
mkuu umenchekesha sana.
 
Kama utachangia gharama kidogo nitakuuzia tu mkuu kwa cheap price ila ni softcopy
Edition ya ngapi sasa mkuu maana saiv wako edition sijui ya 8. Nataka nifundishie madogo zangu bhana maana pepa za form 4 saiv hazikamatiki, km ya mwaka jana ni balaa tupu.
 
Historia ya physics
Physics always ni historia ila ni gate la kukufungulia dunia.Kasome kiswahili au jiografia. Tena wanafizikia waliobobea huwa wanaitwa theoretical physist.
Ukisoma physics duniani hakuna kitakachokusumbua, wala kuuliza uliza maswali ya kininga jinga.
 
Physics always ni historia ila ni gate la kukufungulia dunia.Kasome kiswahili au jiografia. Tena wanafixikia waliobobea huwa wanaitwa theoretical physist.
Ukisoma physics dunia hskuna kitakachokusumbua, wala kuuliza uliza maswali ya kininga jinga.
Ni wachache wenye uelewa kama wako
Mara kadhaa nimewaambia watu, shule zetu zina historia za aina mbili kwenye mitaala yetu
Kuna historia ya Sanaa
Historia ya Sayansi
Sasa hizi hadithi za aina zote ndio zimaweza kumzalisha mwana Sanaa au mwanasayansi bila kujali msingi wake ni historia ya nini.
 
Back
Top Bottom