Wakati wa Magufuli, vibaka na majizi walipungua sana. Kwanini sasa ni kama wamerudi upya?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,292
3,962
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa, kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je, huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwanini hali hii inatokea?
 
Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa, mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya umefika mwisho kwenye kijiji chao lakini kumbe haikuwa hivyo!

Baada ya zahanati kukamilika ujenzi wake mwaka 2020 imebaki gofu na haijawahi kufanya kazi yoyote na wananchi wameendelea kutembea zaidi ya kilomita 30 kufuata huduma ya afya kana kwamba hamna zahanati kwenye kijiji chao !

Kisingizio cha viongozi cha kutoifungua zahati hiyo ili wananchi wapate huduma imekuwa ni kwamba hawajapata waraka kutoka wizara ya afya!

Ama hakika Rais Samia unahujumiwa na watendaji wako huku chini.
 
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa,kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwa nini hali hii inatokea?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha Jiwe kulikuwa na mambo ya kutisha, extortion ilikuwa institutionalized.
Killings, kidnappings, tortures na wengi waliishi kwa uoga.
Kipindi hiki amani imetamalaki, we're breathing fresh air.
 
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa,kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwa nini hali hii inatokea?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Vyombo vya habari havikua huru. Hata bomoabomoa walitishiwa kutangaza.
 
Kwani hujui jiwe lilikuwa mwamba
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa,kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwa nini hali hii inatokea?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha Magufuli si ndio uhalifu ulikuwa wa juu zaidi nchi hii hadi bilionea kama Mo Dewji anatekwa na wahuni na wanamvisha kanga na wanamuacha karibu na Ikulu

Mbunge anapigwa risasi mchana kweupe na wahuni wala hawakamatwi

Magufuli alikuwa mwema sana ila kipindi chake wahalifu walikuwa hawaogopi
 
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa,kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwa nini hali hii inatokea?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Polisi hawana uwezo wa kuzuwia vibaka,iwe kwa idadi au mbinu
 
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa,kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?

Je huenda ni mgomo tu wa polisi au maisha yamekuwa magumu zaidi?

Wataalamu wa sosholojia mtuambie ni kwa nini hali hii inatokea?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ardhi ikiwa kame kwa muda mrefu siku mvua ikinyesha ardhi inanyonya maji yote
 
Wakitumia bunduki inawezekana
Una uelewa wowote wa uwiano wa polisi na watu wanaotakiwa kulindwa!?..polisi wanaweza fanya patrol dar nzima au tabora!?..vibaka wanafanyia wapi na wafanyaje ukibaka wao!?
 
Back
Top Bottom