Naomba kujua vyuo vya private vinavyotambuliwa na Serikali

Jof3

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
661
318
Habari zenu wana Jf,
Kuna ndugu yangu kamaliza form four amepata IV, nahitaji aende chuo cha private akasome certificate either education, business administration n.k
Naomba kujua vyuo vya private vinavyotambuliwa na serikali ili nimpeleke akasome hata kama ni boarding inafaa pia.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom