1. Physics
•Nelkon
•Roger Muncaster
•University Physics
•Chand (zipo 2 ya form 5&6)
•Pamphlets zipo nyingi atachambua yeye atakayoipenda na kuielewa maana zimeandaliwa na Watu tofauti tofauti
2. Chemistry
•Mzumbe organic and inorganic chemistry
•Pamphlet la Mwl anaitwa Mkandawile(limeandikwa kwa mkono), lipo la Organic Chemistry, Physical Chemistry, Inorganic Chemistry
•Pamphlet la Soil chemistry la Issue Boy
3. Advanved Math
•Pure Mathematics (I &II)
•Atafute Mwl mzuri wa namba akishanolewa akaiva hawezi kushindwa kusolve kitabu chochote cha namba, kuna Mwl mmoja anaitwa Mwalami alikuwa na Centre Mchikichini(sijui kama bado yupo) alisifika sana kufundisha hesabu, amtafute akanolewe.
NB: Advance ni juhudi yako hata kama una walimu wazuri wa kukufundisha
daaa.kuu umetaja tranta mpaka nime......Kwa advance mathematics
Pure 1 &2
Chandy volume volume x1 & x11
Understanding math
Tranter (shetani mwekundu)
Usisahau review pia ambazo ziko current 1&2
Na kwenye maths aanze na Calculus maana ndio msingi wa pure mathematics1. Physics
•Nelkon
•Roger Muncaster
•University Physics
•Understanding Physics
•Chand (zipo 2 ya form 5&6)
•Pamphlets zipo nyingi atachambua yeye atakayoipenda na kuielewa maana zimeandaliwa na Watu tofauti tofauti
2. Chemistry
•Mzumbe organic and inorganic chemistry
•Pamphlet la Mwl anaitwa Mkandawile(limeandikwa kwa mkono), lipo la Organic Chemistry, Physical Chemistry, Inorganic Chemistry
•Pamphlet la Soil chemistry la Issue Boy
3. Advanved Math
•Pure Mathematics (I &II)
•Atafute Mwl mzuri wa namba akishanolewa akaiva hawezi kushindwa kusolve kitabu chochote cha namba, kuna Mwl mmoja anaitwa Mwalami alikuwa na Centre Mchikichini(sijui kama bado yupo) alisifika sana kufundisha hesabu, amtafute akanolewe.
NB: Advance ni juhudi yako hata kama una walimu wazuri wa kukufundisha
Si kweli, msingi wa pure mathematics ni TRIG, ukiiweza trig jua kabisa calculus umeiweza, complex number umeiweza, algebra umeiweza, coorinates 1 and 2 umeiweza.Na kwenye maths aanze na Calculus maana ndio msingi wa pure mathematics
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
Tranta nilienda nayo shule ilaa niliishia kuifadhi kwa tranka ,maana kila swali ukisolve mule lazima ubongo uwake motodaaa.kuu umetaja tranta mpaka nime......
ahahhah... mkuu tranter sio kitabu cha kujifunzia..Tranta nilienda nayo shule ilaa niliishia kuifadhi kwa tranka ,maana kila swali ukisolve mule lazima ubongo uwake moto
Tranter una solve mifano tuahahhah... mkuu tranter sio kitabu cha kujifunzia..
kipindi nimeingia FIVE.. mwalimu alianza na logic then cordinate geometry 1.
mwalimu alivyo maliza ile mada.. nilimuelewa sana tena sana.. nikasema ngoja nianze kutembelea vitabu mbalimbali ili niive kwenye hiyo mada.. ikabidi nichukue tranter.. ahahahah...
kuna swali nilikutana nalo mule , yaan like swali ni la intersecting circles.. umepewa equations mbili halafu moja ina unknown.. WE!!! ilinibidi niipereke kwa pcm form six,. ahahaha...
jamaa alivoona lile swali akaniuliza, we dogo umeingia form five na kuanza ku-solve TRANTER??? ... yaani form six wote wakanigeukia na kunicheka.. yaani nilikuwa kituko mule form six..ahahaha.. kwa sababu hamna aliyekuwa anakisolve kime kitabu.. baada ya hapo.. kuanzia siku hiyo.. nilitunza tranter mpaka nimefika form six.. mwezi wa kumi ndo nikaanza kutafuta TRANTER kwenye TRANKER..
ahahahhaah.. I WILL NEVER FORGET WALIVINONICCHEKA WALE FORM SIX PCM
ahhhhaa...Tranter una solve mifano tu