Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Usilo lijua bwana, Ubuntu inaongoza kanda ya ziwa kwa kufundisha Nina ushahidi, km hujui unanyamaza usiseme vyuo vya kijinga usifuate ukubwa wa chuo au mob ya watu angaria kile unacho vuna .no ya sim hii hapa 0768 853 050. mwenye nia ya kusoma sheria, na lazima MTU ufanye utafiti make ni uamzi wa MTU.
Sasa kanda ya Ziwa nayo inavyuo basi
 
We uko wapi na unataka usomee wapi na ili usome dip lazima uanze na certificate in law so mim ni mwanafunz WA certificate Ubuntu k mwnza km una nia nikutmie za principal WA chuo
Sio lazima asome cert. Inawezekana alifauku form six.
 
Pia kama si Mchagga ama mhaya huko ubapoteza muda,sheria inataka kichwa cha kichagga chenye akili
 
Habari waungwana
Naomba msaada kufahamishwa zaidi kuhusu chuo cha kilimo na mifugo ambacho naweza kusoma kuanzia ngazi ya cheti hadi diploma nimehitimu kidato cha nne mwaka 2012 na ufaulu wangu ni kama ufuatao;

History D
Geography D
English D
Kiswahili D
Civics D
Biology D
B/mathematics F

Nina ufaulu wa four ya 28

Naomba kufahamu yafuatayo

Je naweza kuanza masomo mwanzoni mwa mwaka 2020?

Na je, kama nahitaji kuanza masomo mwanzoni mwa 2020 maombi ya kuomba kujiunga na chuo yanatumwa lini?

Vp kuhusu Ada na malazi ya chuoni

Asanteni natanguliza shukrani za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Ubuntu...ubuntu si programe gani sijui ya computer? Bora mngekiita Chato College au JPM college...

Btw iyo ni takataka kama takataka nyingine tandabui, amazon, global college sijui nini

Mtu akasome chuo chenye "kutambuliwa" na serikali bana sasa Ubuntu dah
Pale
 
Habari jamiiforms?

Mimi ni kijana nina ndoto ya kuwa muandishi wa habari na utangazaji, Kwa uchache sina sifa za kujiunga na vyuo, Kikubwa ninapenda nina kipaji cha kutangaza nakuriporti habari.

Ninapenda kukiendeleza kipaji changu, Lakini ili niweze kukitumia nahitaji kunolewa katika vyuo vya uandishi wa habari.

Naomba kama kuna members yeyote mwenye connection za vyou nnavyoweza kujiunga kwa njia ya kipaji mnijulishe kupitia hapa, Ni matumaini yangu kuwa nimeeleweka!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom