KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,023
Nimefurahi kukuona huku ndugu..Kivipi?
Hiyo kitu ilikuwa kweli kabisa..hasa kwenye gari za zamani..
Ipo hivi.. Wakati huo Auto nyingi 4 speed.. Wakati manual zilikuwa 5 speed.. Kwahiyo kwenye gearing gari ya Auto itakuwa na Revs kubwa kidogo kuliko Manual.. Manual alikuwa na advantage..!
Lakini siku hizi Automatic nazo zina gears nyingi.. Kwahiyo nahisi matumizi ya mafuta ni sawa..!
Hii kitu umeiongelea kwenye uzi wako wa gearbox yenye gear nyingi..!