Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua utaratibu wa kupata uanachama wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ChiefmTz, Jan 5, 2011.

 1. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,225
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wana Jf naomba kujua utaratibu wa kujiunga na CCM I mean CHAMA CHA MAPINDUNZI. Mwenye kujua tafadhali naomba anijuvye
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,225
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  mimi sijui........
   
 3. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,150
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Are you sick?
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,344
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  nenda mirembe .kichwa mbovu
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nonsense
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,847
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Nenda ktk tawi lolote lililo jirani nawewe
   
 7. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nenda facebook mtafute makamba anapatikana muulize
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135


  una matatizo ya haja kubwa???
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,508
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160

  Muombe Mungu akuondolee uwezo wako wote wa kutafakari mambo. uwe chizi. yaani uwe mjinga-mjinga. mwenye kupiga makofi na vigelegele hata unapohubiriwa unafiki na upumbavu
   
 10. F

  Fenento JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We vipi JF hatuuzi kadi za vyama hapa.Hili ni jukwaa la kujadili masuala ya msingi ya Tanzania. Inaonesha umekosea njia kwa kukusaidia nenda Uhuru Radio au Mtanzania Gazeti utasaidiwa.
   
 11. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,033
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 180
  Another dumb
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,780
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nenda kwa balozi yoyote au Mwenyekiti wa mtaa wako atakujuza ni wapi alipo katibu wa CCM atakupa kadi yako. Kwani unaitaka leo ya nini? haiombewi kazi wala sehemu yoyote haitambuliki. au unataka uipeleke Chama kingine wakuelewe umetoka CCM?
   
Loading...