Naomba kujua utaratibu wa kujiunga (Joining Instructions) za Chuo cha D.I.T

frank boaz

Member
Mar 7, 2017
9
1
Habari Ndugu wana JF,

Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya Information Technology (I.T) kwa ngazi ya Certificate na Diploma, kwa mawaka huu 2020.

Nahitaji kujua mwongozo na Yanayohitajika mana nimemaliza shule mwaka 2019, ikiwezekana na Ada nijulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Ndugu wana JF, Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya Information Technology (I. T) kwa ngazi ya Certificate na Diploma, kwa mawaka huu 2020
Nahitaji kujua mwongozo na Yanayohitajika mana nimemaliza shule mwaka 2019, ikiwezekana na Ada nijulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
www.dit.ac.tz msaada wa mwanzo
 
Back
Top Bottom