Naomba kujua utaratibu wa kufuatwa ili kuongeza director katika kampuni ambayo imeshasajiriwa

Aug 12, 2013
24
5
Kampuni ilisajiriwa mwaka jana mwezi wa tatu na ina wakurugenzi wawili sasa hivi inahitaji kuongeza mkurugenzi mwingine utaratibu ukoje?
 
Unajaza form ya appointment of director(form 210a) itaambatana na company resolution,filling fee itakuwa 22,000 ors itakuletea
 
Back
Top Bottom