Martchaz chaz mart
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 177
- 93
Kwa waliopangwa vituo vya kazi kutoka Utumishi kwenda TANESCO utaratibu upoje maana mdogo wangu kaenda ku-report lakini amerudishwa ameambiwa mikataba yao bado haijafika vituo vyao vya kazi.
Hili lipoje wakuu? Kwa anajua aje hapa tushauriane tuweze kuwasaidia hawa wadogo zetu.
Hili lipoje wakuu? Kwa anajua aje hapa tushauriane tuweze kuwasaidia hawa wadogo zetu.