Naomba kujua ushuru wa biashara ya vitambaa kwa kila mita moja.

Akshei

Member
Dec 31, 2016
38
13
Naomba kupata taarifa za USHURU wa vitambaa vya kushona,je wana toza kwa MITA au kwa jora?tafadhali kwa anaejua naomba kufahamishwa.
 
Kigezo cha ushuru ni thamani ya mzigo.

Na hii itaonekana kwenye PI iliyowasilishwa kwa mamlaka husika
 
Nashukuru Kwa maelezo yako mwl.RCT:Ila sina hata moja nnalojua kuhusu hiyo PI,ila nikueleze kwa njia nyepesi uweze kunisaidia,mfano jora moja lenye MITA 30 za urefu mpaka limefika TZ limegharimu 30000,na kwa kawaida furushi moja huwa na jora 20,kwa hesabu hiyo wanaweza kuchaji kiasi gani kwa MITA?
 
Pitia mfano nilioweka hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/kukatwa-kodi-kwa-mizigo.1092592/

Kwa ufahamu wangu mdogo kwenye post #4 huo ndio mchanganuo wa kodi.

Hivyo uaangalia ghalama ya mzigo wako na kujaribu kukokotoa. Utapata picha kamili itakayokufanya ujiandae vyema kulipa kodi.
 
Ila sina hata moja nnalojua kuhusu hiyo PI,
PI = Payment Invoice - NI sehemu ya kiambatanisho kwenye documents za mzigo zinazopelekwa kwenye mamlaka husika ili wakokotoe kodi utakayolipia.
 
Nashukuru Kwa maelezo yako mwl.RCT:Ila sina hata moja nnalojua kuhusu hiyo PI,ila nikueleze kwa njia nyepesi uweze kunisaidia,mfano jora moja lenye MITA 30 za urefu mpaka limefika TZ limegharimu 30000,na kwa kawaida furushi moja huwa na jora 20,kwa hesabu hiyo wanaweza kuchaji kiasi gani kwa MITA?
Samahan hvo vitambaa unaagiza vp?
 
Back
Top Bottom