Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wadau habari za jioni
Mimi ni mgeni humu JF ila sio mgeni sana. Lakini kila nikiingia JF nakuta kuna majukwaa, sasa najiuliza hayo majukwaa unajiungaje?
Maana mimi naonaga nikitaka kutuma uzi humu JF wananiletea nichague Jukwaa but huwaga nachagua Jukwaa lolote tu natuma sijaligi sana.
Leo kuna mtu katuma uzi kuhusu "USALAMA WA KUTOA PESA KWENYE HIVI VIBANDA VIDOGO NI MDOGO SANA" nikaona kuna mtu kamwambia amekosea Jukwaa.
Sasa wadau nataka kujua haya majukwaa ya huku JF yana umuhimu gani maana mimi huwa nasoma tu nyuzi in general sionagi kama inashida.
Asanteni.