Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,211
- 1,360
Ndugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama