Naomba kujua ukweli juu ya tuhuma za usalama wa kuhifadhi pesa kwenye Simcard

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Habari humu!
Wadau naomba mwenye kujuwa ukweli juu ya usalama Wa kuhifadhi Pesa kwenye Simu-pesa za mitandao! Kuna tetesi nimezisikia kwamba si salama kuweka Pesa nyingi eti kwakuwa kuna watu Wa mitandao huwa wanazichungulia na pengine kufanikiwa kuziiba! Pia naomba kujuwa kiwango cha mwisho cha kuhifadhi Pesa katika kila mtandao uliopo Tanzania. Karibuni wadau
 
Ni salama, mimi sijawahi kuona mtuhumiwa amefikishwa mahakamani kwa kuiba hela kwenye simu ya mtu labda wewe mwenyewe utoe password yako kwa mtu mwingine
 
Ni salama, mimi sijawahi kuona mtuhumiwa amefikishwa mahakamani kwa kuiba hela kwenye simu ya mtu labda wewe mwenyewe utoe password yako kwa mtu mwingine
Ld
U
Ni salama, mimi sijawahi kuona mtuhumiwa amefikishwa mahakamani kwa kuiba hela kwenye simu ya mtu labda wewe mwenyewe utoe password yako kwa mtu mwingine
Hayo maneno yana ukweli lakini? Maana tuhuma zipo Mdau.
 
Back
Top Bottom