Naomba kujua ukomo wa matumizi ya coins za BOT

Rene Jr.

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
3,714
2,372
Salaam wakuu,
Kuna wazo ninalo la kutumia coins (sarafu) kwa ajili ya kazi fulani. Coins nitazotumia ni za miaka ya nyuma zisizokuwa kwenye mzunguko. Sitaziharibu, lakini nitaweka sehem ambayo zitakuwa kama mapambo. Na je nikihitaji kununua sarafu hizo kutoka BOT inawezekana? Nitahitaji sarafu za senti tano zisizopungua elfo arobaini (40,000 coins).
 
Back
Top Bottom