Naomba kujua uhusiano wa Kipara na utajiri

Zamani MTU akiwa na kipara ni tajiri , walitumia kigezo gani hawa mababu?
Ni hivi ndg...
Zamani idadi ya wenye vipara ilikuwa ndogo sana ktk jamiii!! Tofauti na asiri hii idadi ya vpara imeongezeka kiasi kikubwa zaidi!!
Sababu ni tatu zinazo pelekesha kuondokwa na nywele kichani (Upara) :-
1 Lifestyle
2. Stressz

3.Urithi...
Sasa Utajiri unahusianajee na upara ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom