Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

Kwenye ngumi kuna vitu vikubwa vitatu (3) vinavyomfanya mtu kushinda mpambano nitaviweka katika %:-
1)Nguvu
Inatokana na Size ya mwili, mwili mkubwa nguvu zaidi, mwili mdogo nguvu ndogo...mwenye nguvu/mwili ana aailimia kubwa kumpiga mwili mdogo ikiwa ujahusisha factor nyengine.

2)Timing
Kuoteana hapa inahusika Bahati au kumuotea mpinzani

3)Skills
Hapa mtu aliyepitia mafunzo ya ngumi ana nafasi kubwa ya kumpiga asiyepitia mafunzo...ikiwa ujahusisha factor nyengine.


So...hapo inategemea Factor gani imezidi kwa mtu na factor ipi imepungua kwa mtu ita dertamain kuwa ata pigwa au atampiga mowenizie...Kwa maelezo yako ulichokiona ni mtu mwenye misuli/mwili uliojaza kapigwa na mwenye mwili mdogo bila shaka hapo
*Mwili mdogo kapitia mafunzo ya kupigana na kaiva hivyo anangukia kwenye SKILLS na TIMING.
*Mwili Mkubwa yeye anazo NGUVU tu na anaweza akawa hajamzidi WEIGHT kubwa maana kuna WEIGHT CLASS pia.

NB: Hiyo ni Movie kwenye ulimwengu wa Movie wanaigiza kuna asilimia kubwa ya waliopitia mafunzo ya ngumi ila in real life kuna katika watu 300 unawezab kuta hakuna hata mmoja ana mafunzo ya ngumi So kimtaa mtaaa MWILI una matter zaidi usije ukaleta ujuaji kwa mtu aliyekuzidi mwili ×2 yako hiyo sio movie.
Asante mkuu...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom