Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

Yaan hii mada mnazungumziaa leo ndo nmetoka kununua hii simu karkoo kwa laki 4..nmeingia jamii forum nakuta mnadiscss ....nlkuwa najiaangaikia kutafuta l tecno na infnix mara paaah jamaa nkakuta ana hizi simu nlkuwa ata zsjui akanishawshi nkanunua View attachment 965153
Mkuu kwa hii brand,hutokaa ujutie hela yako zaidi kila siku unavyoitumia utaona kama uliokota hiyo simu.

Ninayo Note 5 ni bonge ya simu man,iko vizuri kuanzia ukaaji wa charge,speed hata muonekano wake tu unakupa heshima.
 
Nlkuwana s6 edg kla dakk inayoenda battery nayo inaisha charge ...kwa kwel kama hii simu itakuwa haya mnayoyasema ta enjy sana ...ngoja atleast mwez uishe ndo tajua ukwel
IMG-20181211-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom