Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

Tayari Huawei ameshampita Apple na Xiaomi ni wa 4 na soon nae Atakuwa wa 3.

Ila uuzaji wa simu sometime hau reflect sana ubora kampuni kama Huawei ukitoa flagship zao simu zao za midrange na low end anaachwa mbali na xiaomi ila sababu ya budget ya matangazo ndio maana anauza sana simu.

Huawei anaspend sana kwenye matangazo na kuhonga kampuni za uuzaji na waandishi wa habari ili simu ziuzike sana (tetesi serikali ya china ipo nyuma yao),

Same kwa Samsung nayo ni kama Huawei wanaspend hela nyingi kwenye matangazo ndio maana moja kati ya simu mbaya kutolewa na samsung yenye storage ya 8gb na mediatek soc ikaongoza mauzo kwa simu zote za Android, sio kwamba hii grand prime plus ni bora hapana, ila sababu tu kila unapoenda kulikuwa na Tangazo lake, Hadi maeneo yetu ya Kkoo mabango kibao ilikuwepo, na kina sie tukiona bango na picha nzuri mbio mbio tunaenda kununua.

Oppo anatengeneza simu nzuri ila kwa bei still hamfikii xiaomi, huyu xiaomi hapati faida kabisa anauza vitu kwa gharama aliotengenezea. Halafu pia Xiaomi ni muwazi sana kila kitu chake anapenda kukiweka hadharani ndio maana nae japo hana hela kama hao ma giant ila anapendwa sana hasa na ulimwengu wa watu ambao ni wataalam wa tech.
Mkuu hivi mwezi huu kunakuwaga na sale kwa aliexpress na inaanzaga mda gani maana naivizia sana hiyo

na vipi mfano nime order simu kwa wakati huo bei ilikuwa 125$ sasa nataka lipia nikapitia napitia tangazo nakuta bei imepannda 135$ je hapo nikirudi katika order yangu nalipia kiasi kile nilichoweka order au hiki kipya?
 
Mkuu, unaizungumziaje Redmi 6, ni kweli simu zote zenye MTK Soc ni mbaya?
F73CD5FBF265CE83FE27BDD84A8F527E_640-853.png
 
Kwa maana hiyo Xiaomi ni bora kuliko Huawei, Oppo na Infinix??
Usije ukani quote vibaya, kwenye Highend Huawei wapo vizuri simu kama Mate 20 na p20 ni nzuri kuliko highend za xiaomi ila kwenye midrange na lowend Xiaomi wapo vizuri. Na infinix hapana aisee huwezi wafananisha na hao watatu. Kuhusu Oppo wanazo simu nzuri ambazo zipo level 1 moja na hao wakubwa ila hawa pia ni kama Huawei wanazo nzuri na zipo wanazochanganya
 
Mkuu hivi mwezi huu kunakuwaga na sale kwa aliexpress na inaanzaga mda gani maana naivizia sana hiyo

na vipi mfano nime order simu kwa wakati huo bei ilikuwa 125$ sasa nataka lipia nikapitia napitia tangazo nakuta bei imepannda 135$ je hapo nikirudi katika order yangu nalipia kiasi kile nilichoweka order au hiki kipya?
Sale iliisha mwezi wa 11, ila mwezi huu nafikiri kipindi cha sikukuu wataweka nyengine.

Itategemea na wanaruhusu kitu kukaa kwenye cart kwa muda gani, unaweza kuta bei ile ile ama ikawa imezidi.
 
Mkuu, unaizungumziaje Redmi 6, ni kweli simu zote zenye MTK Soc ni mbaya?View attachment 961814
Hii inatumia p22 katika soc za mediatek zenye unafuu hii ni moja wapo sababu inatumia manufacturing technology za kisasa kuliko mediatek nyingi. Hivyo itakuwa efficient kama snapdragon nyingi za bei hii.

Na pia bei ya hii simu ni nafuu chini ya laki 3, hivyo hata kama ni mediatek its worth it, snapdragon yenye perfomance kama hii ni ngumu kuipata katika price point hii.

Bonus point Tecno camon yenye same soc na display resolution inauzwa zaidi ya laki 4,
 
Usije ukani quote vibaya, kwenye Highend Huawei wapo vizuri simu kama Mate 20 na p20 ni nzuri kuliko highend za xiaomi ila kwenye midrange na lowend Xiaomi wapo vizuri. Na infinix hapana aisee huwezi wafananisha na hao watatu. Kuhusu Oppo wanazo simu nzuri ambazo zipo level 1 moja na hao wakubwa ila hawa pia ni kama Huawei wanazo nzuri na zipo wanazochanganya
Shukran mkuu, nitachukua Xiaomi over Huawei na Oppo.
 
Chini ya laki 3?? Mbona India wanauza 490K-520K. Au nachanganya?
Hii inatumia p22 katika soc za mediatek zenye unafuu hii ni moja wapo sababu inatumia manufacturing technology za kisasa kuliko mediatek nyingi. Hivyo itakuwa efficient kama snapdragon nyingi za bei hii.

Na pia bei ya hii simu ni nafuu chini ya laki 3, hivyo hata kama ni mediatek its worth it, snapdragon yenye perfomance kama hii ni ngumu kuipata katika price point hii.

Bonus point Tecno camon yenye same soc na display resolution inauzwa zaidi ya laki 4,
 
Labda unaichanganya na Redmi Note 6 Pro, hii Redmi 6 unaipata China chini ya laki tatu.
Yaan hii mada mnazungumziaa leo ndo nmetoka kununua hii simu karkoo kwa laki 4..nmeingia jamii forum nakuta mnadiscss ....nlkuwa najiaangaikia kutafuta l tecno na infnix mara paaah jamaa nkakuta ana hizi simu nlkuwa ata zsjui akanishawshi nkanunua
Screenshot_2018-12-11-23-39-34-132_com.android.settings.jpeg
 
Back
Top Bottom