ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
Poco ni kampuni ya Xiaomioneplus ni kampuni mama ya oppo, ni sawa na tecno na infinix ama na itel! hio pocophone siijui ndio naiskia kwako!
Poco ni kampuni ya Xiaomioneplus ni kampuni mama ya oppo, ni sawa na tecno na infinix ama na itel! hio pocophone siijui ndio naiskia kwako!
Xiaomi liko duka moja Kkoo, oppo ni mpaka kuagiza Kenya.Oppo Na Xiaomi, Tanzania zinapatikana maeneo gani uhakika
Mkuu unaweza kunisaidia definition ya Mshamba?maana Nimeshaona Watu wenye majumba mjini na Uwekezaji mzuri wanatumia Nokia za tochi na tecno,na nimeona wanaoishi kwa Shemeg zao wana cm Kali apple et al,.
Mshamba ni mtu wa namna gani?
Dah mkuu pole sana,ninayo hapa hii kitu ni mafuta sijui kitakachonitoa humu hii brand imenibamba kweli kweli.Nilinunua hiyo mwezi November kabla wasamaria wema hawajaniibia pale nilipopata ajali ya gariView attachment 960436
Dah mkuu pole sana,ninayo hapa hii kitu ni mafuta sijui kitakachonitoa humu hii brand imenibamba kweli kweli.
Nilinunua hiyo mwezi November kabla wasamaria wema hawajaniibia pale nilipopata ajali ya gariView attachment 960436
Duka lipo mtaa gani ChiefXiaomi liko duka moja Kkoo, oppo ni mpaka kuagiza Kenya.
Maduka ya Moshi mjini pale stand ya mabasi ndio kama kariakoo yao, zipo za kutosha hela yako tu! Arusha vivo hivyo, maduka ya Around stand unaeza pata
Kuna option ya kuagiza India, zinapatikana kwa bei nzuri na uhakika wa kupata OG ni 100%. Tumia Amazon.in au Flipkart. Natarajia kuagiza mwishoni mwa mwezi huu as kuna jamaa ataenda likizo then akirudi mzigo unanifikia
Poco ni Brand tu, ni kama unavyoita Samsung Galaxy "Note" ama "S" ama "A"!Poco ni kampuni ya Xiaomi
Mkuu sehem gani imeeandikwa iyo MEDIATEK?Ni nzuri ila tu kama bei iikuwa reasonable maana nayo inatumia MEDIATEK CHIP
Tayari Huawei ameshampita Apple na Xiaomi ni wa 4 na soon nae Atakuwa wa 3.Best selling brands in mobile phone
1. SAMSUNG
2. APPLE
3. HUAWEI
4. OPPO
nashangaa mnao dharau oppo na huawei!!! Sema tecno wereva haimo hata 15 bora!!!
Kwa maana hiyo Xiaomi ni bora kuliko Huawei, Oppo na Infinix??Tayari Huawei ameshampita Apple na Xiaomi ni wa 4 na soon nae Atakuwa wa 3.
Ila uuzaji wa simu sometime hau reflect sana ubora kampuni kama Huawei ukitoa flagship zao simu zao za midrange na low end anaachwa mbali na xiaomi ila sababu ya budget ya matangazo ndio maana anauza sana simu.
Huawei anaspend sana kwenye matangazo na kuhonga kampuni za uuzaji na waandishi wa habari ili simu ziuzike sana (tetesi serikali ya china ipo nyuma yao),
Same kwa Samsung nayo ni kama Huawei wanaspend hela nyingi kwenye matangazo ndio maana moja kati ya simu mbaya kutolewa na samsung yenye storage ya 8gb na mediatek soc ikaongoza mauzo kwa simu zote za Android, sio kwamba hii grand prime plus ni bora hapana, ila sababu tu kila unapoenda kulikuwa na Tangazo lake, Hadi maeneo yetu ya Kkoo mabango kibao ilikuwepo, na kina sie tukiona bango na picha nzuri mbio mbio tunaenda kununua.
Oppo anatengeneza simu nzuri ila kwa bei still hamfikii xiaomi, huyu xiaomi hapati faida kabisa anauza vitu kwa gharama aliotengenezea. Halafu pia Xiaomi ni muwazi sana kila kitu chake anapenda kukiweka hadharani ndio maana nae japo hana hela kama hao ma giant ila anapendwa sana hasa na ulimwengu wa watu ambao ni wataalam wa tech.
Hii simu afadhali ya tecno au itel.Kuhusu Samsung nimekuelewa jana nimenunua j7Max imenisumbua kinoma kuingiza line, nafika home network ipo bar moja haipandi, am very disappointed kesho nairudisha ni heri ya mchina wangu Tecno w5 haijawahi niangusha
Infinix looooooKwa maana hiyo Xiaomi ni bora kuliko Huawei, Oppo na Infinix??