Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

Asante kwa ufafanuzi
Nataka ninunue simu mpya lakini matoleo mapya yote naona ni 6.0" au zaidi na mm sipendi masimu makubwa yakutumia mikono miwili.
Kwa sasa natumia galaxy s6 5.2"
Angalia hapo juu nilichoongea mkuu,ila kama bajeti ni nzuri chukua mi 9se ni iko na inch 5 na kitu hivi pia kwa Kigezo hiko unaweza ukawa nyuma ya Technology na ukakosa kitu sahihi kwa sasa mkuu simu zote zinakuja na 6 inch na kuendelea ila ni les bezel na sio inch 6 kama ya yale ma samsung Note 4 na wenzie ya kipindi kile sijui umenielewa mkuu
 
Back
Top Bottom