Naomba kujua ubora wa magari ya Tdi Discovery

Hess

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
593
674
Naomba kujuzwa uzuri na ubovu wa magari haya. Tdi Discovery. Mwenye kujua anisaidie, mke wangu kapewa zawadi tunashauriana kuuza.
 
Mkeo kapewa zawad discovery.... Ki ukwel nlichokiwaza nkisema nakula BAN ya mwaka mzima
 
Discovery Tdi ni gari nzuri sana, nilikuwa nayo moja zamani sana Tdi II, nilikuwa natumia diesel lita 1 kwa kilomita 14.

Sijapata tena mpaka leo gari ya nguvu zake inayokula mafuta vizuri namna hiyo.

Ile ya zamani ilikuwa inanisumbuwa "rubber bushes" na "shock absorbers" mara kwa mara, mpaka nilipovumbuwa rubber bushes na shock absorbers special zinazotengenezwa kwa ajili ya 4X4 za Australia, ingawa ni ghali kidogo lakini kuzifunga nikawa nimefunga kazi. Nilikaa nazo miaka 4 mpaka nnaiuza hiyo gari sijabadilisha na bado nzuri na nilikuwa nimezunguka nayo Tanganyika nzima.
 
Ni gari imara. Ulaji wa mafuta ni mzuri. Na zina dumu.

Haziitaji ubabaishaji..
 
Discovery Tdi ni gari nzuri sana, nilikuwa nayo moja zamani sana Tdi II, nilikuwa natumia diesel lita 1 kwa kilomita 14.

Sijapata tena mpaka leo gari ya nguvu zake inayokula mafuta vizuri namna hiyo.

Ile ya zamani ilikuwa inanisumbuwa "rubber bushes" na "shock absorbers" mara kwa mara, mpaka nilipovumbuwa rubber bushes na shock absorbers special zinazotengenezwa kwa ajili ya 4X4 za Australia, ingawa ni ghali kidogo lakini kuzifunga nikawa nimefunga kazi. Nilikaa nazo miaka 4 mpaka nnaiuza hiyo gari sijabadilisha na bado nzuri na nilikuwa nimezunguka nayo Tanganyika nzima.
Thanks kwa haya maelezo, wewe mtu wa 3 with same tale. ASANTE
 
Mkeo kapewa zawad discovery.... Ki ukwel nlichokiwaza nkisema nakula BAN ya mwaka mzima
Yes. Ni zawadi toka kwa dada yangu. Kampa usafiri wa kusaidia watoto, kajifungua mapacha 3.
 
Back
Top Bottom