Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting

Kwa ajili ya picha na video za vipart vya mtaani

Bado sikushauri kununua hyo Camera,Kama unahitaji Camera aina Ya Canon kwa ajili Ya hzo part angalau upate 600d,700d,60d au 7d hapo Utaweza kuenjoy kwa upande wa picha na video,endapo Kama utahitaji Camera kwa ajili Ya kazi kazi inabidi upate Canon 5d mark iii nakuendelea,Au uhame kampuni Ya Canon uende kwenye Sony Au Panasonic.
 
Back
Top Bottom