Naomba kujua tofauti za hizi Keyboards

Baba advent

Member
Nov 23, 2011
72
16
Naomba kujua utofauti wa kinanda yamaha psr s970 na psr s770 na ni kipi ni kizuri zaidi kati ya hivyo. Asanteni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi naulizia digital church organ zenye pedal za bass. Ipi ni nzuri? Mwanzoni nilitumia Technics lakini sasa inaonekana hazipatikani mpya tena.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom