Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,726
5,442
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama

Natanguliza shukrani.
 
Kipaji, uwezo maalum (wa kufanya) wa mtu katika utendaji au ufanyaji wa jambo. Kuimba, kupiga / kutumia chombo/ kifaa

Kipawa,, uwezo maalum (wa kiakili/ ufahamu) wa mtu katika kutafakari, kutabiri mambo yasiyo wazi kwa uelewa wa kawaida.

Karama, uwezo maalum (ukihusishwa kiimani) wa mtu unaomtokea kwa bahati au majaaliwa ya Mungu.
Upatanishi penye kutoelewana, mvuto Kwa umma.
 
Asante
 
Mkuu, hilo neno "MAALUM" ulilotumia kwenye kipaji, kipawa na karama kwani kuna vipaji , vipawa na karama zisizokuwa maalum??
 
Back
Top Bottom