Naomba kujua tofauti kati ya Vanguard na Harrier 240g

Zote zina engine sawa ila nadhani gearbox na walivyozitune hazifanani. Napenda Vanguard zaidi. Vanguard ina space ya kutosha tu kama harrier (unlike rav4).
Bei, Vanguard itakuwa milioni 2-3 zaidi ya harrier katika matoleo mengi.
Stability, ningechagua vanguard
 
Back
Top Bottom