• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Naomba kujua tofauti iliyopo kati ya blog na website

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,988
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,988 2,000
Mkuu blog pia ni website sema yenyewe inakuwa update mara kwa mara na kunakuwa na interaction baina ya muandika post na msomaji.

Website ya kawaida inakuwa tu one way webmaster anaweka contents na wanaotembelea website wanaona mfano ni website ya polisi.

Blog yenyewe blogger anaweka post mara kwa mara na wasomaji wana comments, kitu kinaweza hata kuwa sio serious anaweza tu akapiga picha ya paka na kupost na watu wakaanzisha gumzo.

Mara nyingi blog inatumika kuunganisha watu wenye interest fulani pamoja, ndio maana unaona blog za udaku, michezo, mifugo etc
 
mzee wa kasumba

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
1,103
Points
2,000
mzee wa kasumba

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
1,103 2,000

Elimu Pana mkuu. Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
1,636
Points
2,000
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
1,636 2,000
"If you can't explain it simply, you don't understand it well enough"
- Einstein

Website
1. Static website
- Contents doesn't get updated frequently.
Example: WordPress type websites, Wix.com, etc
2. Dynamic websites (Blogs)
- Contents updates frequently
Example: Muungwana blog, Millardayo, and other blogs
 
S

sele255

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
225
Points
250
S

sele255

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
225 250
Blog huwa ni kwa ajili ya news and updates website inaanzia palipoishia blog,blog inaweza kuwa ndani ya website.Hivyo functionality ambazo zinaongezeka zaidi ya news na updates ndio unaingia kwenye website.Hivyo website inakuwa na inatoa taarifa na huduma (commerce/business) blog inatoa taarifa tu.Hivyo professional website ni lazima iwe na sehemu ya blog ambayo itakuwa kwa ajili ya taarifa tu.

Aina ya pili ya kutofautisha ,blog inaweza kuendeshwa na mtu mmoja (ukifuatilia solopreneurs wengi hawasemi wanamili website bali wanasema blog) lakini website inakuwa ni ya taasisi fulani au biashara fulani.Blog inakuwa ina functionality ndogo kuliko website.
Kutokuelewa kwa kumetokana na maana hizo mbili, mfano platform ya Google yaani Blogger inatoa taarifa halisi juu ya blog inavyotakiwa kuwa, utaona ndani ya Blogger Kuna limited functionality nyingi ambazo huwezi kuzifanya
WordPress.com nayo ni blogging platform nayo inatoa picha jinsi gani blog inatakiwa kuwa
WordPress.org nayo ni blogging platform ila ina una uwezo wa kutengenezewa full website

Tembelea Blogger (Google) na WordPress.com kujua jinsi gani blog inatakiwa kuwa,ukishaelewa kwenye blog kazi itakuwa imeusha
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,406,493
Members 532,338
Posts 34,516,558
Top