Naomba kujua sifa za wanawake wa Kimasai, kuna binti naona ananivamia wiki hii

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Mara ooh naona uko na baridi, mara ooh nije kukupikia, mara ooh ukiangalia pembeni yako nipo. Na ikumbukwe sijachomeka neno lolote la kumtaka in love hapana hua najiuliza huyu mtoto anataka nini kwangu na wamasi sina experience nao.

Naomba mwenye kuwajua tafadhali
 
Katika pisi Kali ni za kimasai lakini asiwe local sana mpaka kutobolewa mashimo maskio na kutolewa antenna


Nasemea modern Masai lakini still bado wapo kwenye maboma au waarusha wako vizuri sana


Tatizo chura tu
 
Hao hapo
FB_IMG_1589533103561.jpeg
 
Back
Top Bottom