Naomba kujua sifa ya bati za rangi aina ya Bomba Bati

NGERESHAA

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,237
1,668
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, naomba kama kuna mtu yoyote anayejua sifa za mabati haya ya Bomba Bati .

Kuna mdau anauza ananishawishi kweli, kaniambia bati hizo ni za kampuni ya Kichina zipo vizuri. Naomba aliye wahi kuezekea au kuziona anipe mawili matatu kuhusu bati hizi.

Naomba pia mwenye namba za wakala wa Alaf mkoa wa Mbeya au ikishindika Dar, naomba anisaidie ili niangalie huko.

Asante.
 
Kama una access na Instagram wanatumia alaflimited kule utapata mawasiliano yao.

Siku hizi customer care yao ipo vizuri ushindani na wachina umekuwa mkubwa.
 
Kama una access na Instagram wanatumia alaflimited kule utapata mawasiliano yao.

Siku hizi customer care yao ipo vizuri ushindani na wachina umekuwa mkubwa.
Asante sana mkuu
 
Kujenga ni neema ya ajabu. Wengi wana pesa lakini hawana hata kiwanja. Wanakaa Masaki kwenye appartments, wanaona aibu kwenda kutafuta viwanja nje ya mji
OK asante mkuu,ni ya wastani tu mkuu kuhifadhi Familia ni jambo jema kama inawezekana . Kipato kidogo ila ndio hivyo tunajibana kweli Pomoja na kuwa na malengo
 
Back
Top Bottom