lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,343
Wakuu kwa hapa Dar es salaam ni wapi kuna dealers wa hizi simu za Google Pixel?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
watu sijui wakoje yaani!!!
aisee
Matapeli hao wanataka kuliza watu kwa maneno yao ya kisenge..watu sijui wakoje yaani!!!
Anapatikana Kigamboni
Anapatikana Kigamboni
Namba zake ni 0763668558
Simu anazoiuza mkononi ni full boxed
Pixel 1,2 na 2Xl zinakuepo.
Kuanzia 3,3a na 3aXl zinakuja kwa special order
Bei zake nimeattach kwenye picha hapo chiniView attachment 1314033
Sent using Jamii Forums mobile app