the blue sky
Member
- Oct 17, 2018
- 24
- 18
Habarini wana JF.Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia kukatika kwa nywele na kusaidia nywele kuota vizuri?
Mkuu nimeuliza kwa niabaMe au ke ?
Usifanye brow dry inakata nywele na kwa Maelezo zaid kuhusu utunzaji wa nywele follow page ya letsgonaturaltz instagramJamn na mm nishaurini nilifanya body dry, nywele zangu zinakatika hatr. nisaidien nifanyaje wakuu
Asante mkuuUsi
Usifanye brow dry inakata nywele na kwa Maelezo zaid kuhusu utunzaji wa nywele follow page ya letsgonaturaltz instagram