Naomba kujua ni kweli tofali za kuchoma ni imara?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Wana JF nipo hapa kwa kuomba ushauri ninataka kujenga nyumba katika Mkoa wa Morogoro Mjini na baadhi ya marafiki zangu wananishauri nijenge nyumba ya Tofali za Kuchoma kwani wanasema ni Imara sana.Na wakati wa kujenga nitumie tope kwa tope.Je ni kweli nitakuwa na Nyumba imara? Kama ni mtaalamu na tofali za kuchoma naomba unisaidie kwa hilo!
 
Back
Top Bottom