Naomba kujua nauli ya ndege kutoka Tanzania mpaka Uholanzi

matyazo

Senior Member
Oct 29, 2014
109
31
Ndugu zangu naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu nauli ya ndege kati ya Tanzania na uholanzi ni shillingi ngapi,yani namanisha kwenda tu sio nakurudi.Nimepewa assigment hiyo sasa cna wa kumuuliza imebidi nilete humu mnisaidie.
 
andaa 2millions, kwa economy class unaweza baki na chenji kidogo hapo.
 
Nauli ya ndege inatofautiana kulingana na yafuatayo
1. Aina ya ndege ulotumia
2.msimu uliosafiri
3. Range ya muda uliobook na tarehe ya kusafiri, yaan ukikata mapema zaid ndipo nauli inakuwa ndogo,

Ila tembelea kwenye application ya flights, uko playstore approximately ni 800 USD return ticket
 
Nashukuru mwamba
 
Ndugu zangu naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu nauli ya ndege kati ya Tanzania na uholanzi ni shillingi ngapi,yani namanisha kwenda tu sio nakurudi.Nimepewa assigment hiyo sasa cna wa kumuuliza imebidi nilete humu mnisaidie.
Lakin pia kuna bus inatoka ubungo hadi uholanzi
 
Back
Top Bottom