Naomba kujua namna ya kuplay youtube background videos huku nikendelea na vitu vingine kwenye simu

note series
Screenshot_2020-04-17-11-04-20.jpg
Screenshot_2020-04-17-11-05-42.jpg
Screenshot_2020-04-17-11-06-26.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ESPRESSO COFFEE,

kwa android tumia app inaitwa ymusic, hii ni app ya youtube ambayo ina features nyingi za kusikiliza sauti, inauwezo wa kuplay background ama hata kusikiliza mziki na kusoma lyrics bila kuangalia video. pia unaweza ukaitumia kama player ya youtube na hata kudownload videos na miziki. link yake utaipata hapa
YMusic download and listen YouTube video in background - Android


kwa ios alternative yake ni musi ambayo pia ni music player inayo fetch youtube, sijawahi itest kwa hii platform unaweza kuiangalia kama inaplay background
‎Musi - Simple Music Streaming

pia mkuu unaweza angalia spotify, youtube, amazon music na platform nyengine za kulipia kipindi hichi cha covid zinapatikana bei za kutupa.
Chief mimi nina spotify premium nilikuwa nakatwa kila mwezi pesa, miezi miwili nyuma nili stop kuna mambo yaliingiliana, sasa najitahidi kurejesha nashindwa card yng ina fail ku process malipo huku ilikuwa inakubali tu before, shida inaweza kuwa nini?
 
Inabidi hapo udownloadie kwa kutumia download manager kuna maujanja unafanya unakuwa unapata link ya kitu unachotaka kudownload kutoka Telegram kwenda kudownloadia kwenye download manager.
Toa darasa basi chief
 
Chief mimi ni spotify premium nilikuwa nakatwa kila mwezi pesa, miezi miwili nyuma nili stop kuna mambo yaliingiliana, sasa najitahidi kurejesha nashindwa card yng ina fail ku process malipo huku ilikuwa inakubali tu before, shida inaweza kuwa nini?
Ikikaataa inakupa error gani? Card ina hela ya kutosha? Umejaribu njia nyengine ya kulipia kama kutumia paypal?
 
Back
Top Bottom