Jagood JF-Expert Member Aug 15, 2016 2,137 2,385 Oct 25, 2019 #1 Habari, Namna gani naweza kuandaa kuku wa ndimu/ lemon chicken? nataka kujua viungo vinavyohitajika na shughuli nzima mpaka anaiva. .
Habari, Namna gani naweza kuandaa kuku wa ndimu/ lemon chicken? nataka kujua viungo vinavyohitajika na shughuli nzima mpaka anaiva. .
Joowzey JF-Expert Member Nov 13, 2015 13,085 13,300 Nov 7, 2019 #3 Si uwapake ndimu tu halafu uwapike,we ushasema kuku wa ndimu,we tia ndimu pika,ipua,kula!
Jagood JF-Expert Member Aug 15, 2016 2,137 2,385 Nov 8, 2019 Thread starter #4 Ililitokee bomu Joowzey said: Si uwapake ndimu tu halafu uwapike,we ushasema kuku wa ndimu,we tia ndimu pika,ipua,kula! Click to expand...
Ililitokee bomu Joowzey said: Si uwapake ndimu tu halafu uwapike,we ushasema kuku wa ndimu,we tia ndimu pika,ipua,kula! Click to expand...