Tank la pikipiki gani?Msaada kuhusu Kutoa kutu kwenye tenki la pikipiki je nitumie njia gani au Kuna dawa spesho .. . Msaada wandugu
OK nashukuruTank la pikipiki gani?
Hapo inabidi ulitoe Kisha ufungue koki Kisha usafishe tank na sabuni na maji.
Njia ya muda mfupi ni kupiga rangi na kuhakikisha limekauka vizuri ndio uendelee kutumia ukiwahi kutumia ni kuwa rangi itakuwa unatoka na kupiga katika fuel filter na kama usipobadili filter chembechembe ndogo zikifika katika carburetor zita sababisha jet kuziba na kuleta miss.
Njia ya kudumu ni kulipaka zinc alloy tank kwa ndani au ubadili utumie tank za aluminum au plastics.
Nji rahisi sana tumia soda aina ya cocacola ukiweza pata ile ya 1lt mimina humo kwenye tank tikisakwa kulizungusha tank taratibu kma dk 2 hiv halafu tikisa kwanguvu kama dk1 halafu acha iache ikae hata dk 10 then tikisa tena kama dk 1 halafu mwaga utaona maajabuOK nashukuru
Mkuu hii ni njia ni nzuri ila ni ya muda mfupi, itamlazimu awe anafanya hivi Mara kwa Mara. Pia kama hatakausha kwa jua maji yote hawezi kumaliza kutakuwa na unyevu unyevu unao baki.Nji rahisi sana tumia soda aina ya cocacola ukiweza pata ile ya 1lt mimina humo kwenye tank tikisakwa kulizungusha tank taratibu kma dk 2 hiv halafu tikisa kwanguvu kama dk1 halafu acha iache ikae hata dk 10 then tikisa tena kama dk 1 halafu mwaga utaona maajabu
Baada ya hapo waweza weka tena kiasi tikisa halafu waweza suuza na maji safi mwaga maji acha likauke baada ya hapo endelea na matumizi.
Habari mkuu?Tank la pikipiki gani?
Hapo inabidi ulitoe Kisha ufungue koki Kisha usafishe tank na sabuni na maji.
Njia ya muda mfupi ni kupiga rangi na kuhakikisha limekauka vizuri ndio uendelee kutumia ukiwahi kutumia ni kuwa rangi itakuwa unatoka na kupiga katika fuel filter na kama usipobadili filter chembechembe ndogo zikifika katika carburetor zita sababisha jet kuziba na kuleta miss.
Njia ya kudumu ni kulipaka zinc alloy tank kwa ndani au ubadili utumie tank za aluminum au plastics.
Mkuu freezer yangu inaliwa na kutu, tiba yake ni Nini?Tank la pikipiki gani?
Hapo inabidi ulitoe Kisha ufungue koki Kisha usafishe tank na sabuni na maji.
Njia ya muda mfupi ni kupiga rangi na kuhakikisha limekauka vizuri ndio uendelee kutumia ukiwahi kutumia ni kuwa rangi itakuwa unatoka na kupiga katika fuel filter na kama usipobadili filter chembechembe ndogo zikifika katika carburetor zita sababisha jet kuziba na kuleta miss.
Njia ya kudumu ni kulipaka zinc alloy tank kwa ndani au ubadili utumie tank za aluminum au plastics.
Salama Mkuu, Hiyo freezer yako Inabidi ukwangue sehemu Zenye kutu Kisha upige rangi za antifouling paint hizi zinatumika kwenye boti au utafute rangi Zenye material Yenye kiasi kikubwa Cha kupapambana na kutu upige walau coat 2 au 3.Habari mkuu?