Naomba kujua namna ya kuingiza Mbuzi nchini kutoka Nje

bin rash

Member
Mar 24, 2018
11
45
Habarini wana Jamii forum,
naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Kwakweli mifugo mingi inaingizwa kwa njia ya ndege ningekushauri uende wizara ya mifugo na uvuvi watakupa maelezo yote, ila nafahamu watu wanaoagiza mbwa kutoka nnje kuingiza nnchini labda nikupatie mawasiliano yao wataweza kukupa mwanga mzuri zaidi.
 

bin rash

Member
Mar 24, 2018
11
45
Kwakweli mifugo mingi inaingizwa kwa njia ya ndege ningekushauri uende wizara ya mifugo na uvuvi watakupa maelezo yote, ila nafahamu watu wanaoagiza mbwa kutoka nnje kuingiza nnchini labda nikupatie mawasiliano yao wataweza kukupa mwanga mzuri zaidi.
Sawa mkuu nisaidie please ...
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Sasa mkuu si umwage information hapa nawengine tufahamu,ndio lengo LA Jukwaa
Kaka nisamehe siwezi kuweka number ya simu yamtu hapa jukwaani bila ruhusa yake ndio maana nkamwambia anaitafute, kuna watu niko nao kwenye jukwaa la ufugaji wa Mbwa huwa wanaagiza sana Mbwa toka nnje nndio namuunganisha nao wamsaidie.
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Kilimo, mifugo na uvuvi ndio kuna Wataalamu washauri.
Nikweli kabisa lakini kuna mambo mengine madogo madogo yanapashwa kuyafwata wakati wa uagizaji ndio maana nikasema nitamsaidia kwa hilo kujuana na wazoefu wanao agiza wanayama hai kila mara kuingiza nchini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom