Naomba kujua namna ya kufanya Backup kwa Unofficial WhatsApp to Official WhatsApp

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
433
250
Hallow wadau wa JF

Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp.

Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp.

Yaani nikiweka WhatsApp official niweze kurudisha meseji zangu zote zilizopo YoWhatsapp.

Natanguliza shukrani.
 

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,955
2,000
Nenda settings > chats > chats backup halafu bofya kitufe cha kijani cha backup


Iyo ni local backup, uninstall iyo unofficial whatsapp, install official whatsapp, ikifika sehemu ya ku restore kubali itaanza ku restore local backup kwanza, kisha itajaribu ku restore online backup.

Then endelea na step zingine
Screenshot_20191222-001121_WhatsApp.jpg


Sent from my SM-J810F using Tapatalk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom