Naomba kujua namna ya kuextract ISO game kwenye Android phones

beka the boy

Senior Member
Nov 6, 2018
167
96
Husika na mada tajwa hapo juu,ninaomba kujuzwa namna ya ku extract ISO game (japo hii naiweza lakini ni kwa faida ya wengine) na kinachofuata baada ya hapo maana inaniletea ugumu nakuwa siwezi kulicheza bado licha kuwa ya na ppsspp kutoka Play Store ambayo inatumika kucheza magame hayo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom