Naomba kujua mshahara wa District coordinator-sikika

Nwaigwe

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
1,053
914
naomba kujua mshahara wa hawa watu kwenye position ya district coordinator.
 
Mkuu vp uliomba hiyo nafasi iliyotangazwa juzi kati? nasikia walio omba ni watu 3790 na tayari baadhi wameshapigiwa sim kuitwa kwenye Interview. Kama hujapigiwa sim mpaka leo basi forget about it.
 
Ni

Niliomba ndugu yangu na nimeitwa. Nauli ni juu yetu. ila huo mshahara niliotajiwa na wasiwasi amekosea kuongeza some figure . Kama wanaweza kulipa mshahara mkubwa kiasi hiki hii local NGO basi wanaweza kuwarudishia watu nauli zao pia .
 
Mkuu vp uliomba hiyo nafasi iliyotangazwa juzi kati? nasikia walio omba ni watu 3790 na tayari baadhi wameshapigiwa sim kuitwa kwenye Interview. Kama hujapigiwa sim mpaka leo basi forget about it.
Nimeitwa ila cha ajabu nauli juu yetu. Halafu mdau hapo juu katujulisha kuwa mshahara ni milioni tano na ushee ndiyo maana na kuwa na wasiwasi kidogo
 
Nadhan alimaanisha laki tano na tisini
 
Kwa mshahara huu baada ya makato inabaki ngapi. Mbona kidaslam haitoshi kwa mwezi...au mishe za kando ndio sana
Are you serious kwamba 5m haitoshi kwa mwezi au unafanya masihara? Kwa matumizi gani hasa? Hivi hujiu ni watz wachache sana ambao wanapata mshahara kama huu?
 
Back
Top Bottom