Naomba kujua mshahara wa Diploma ya Ustawi wa jamii

msaada nataka nikasome iyo dp ya social work
Kasome charii kikubwa ina fursa nyingi sana si tu serikalini hata kwenye NGO's. Ila kwa sasa kwenye taasisi zisizo za kiserikali ajira nyingi ni degree ukipata nafasi ya kuendelea usiache kuendelea coz mishahara ya kwenye project huwa hata mshahara unaweza ukausahau kuna per diem, semina za kutosha.
 
asante mimi nimeajiriwa serikalini mwaka jana nilisoma community health sasa nia nijiendeleze na hii mkuu
 
Laki mbili , unataka ulipwe shilingi ngapi na kidiploma uchwara chako cha kichochoroni hicho ?
 
Back
Top Bottom