Naomba kujua mishahara ya watu hawa

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
454
555
Wakuu habari za leo?

Naomba kujua mshahara wa watu wafuatao atika vyuo vikuu:
1. Admission officer
2. Examination officer

Asanteni sana.
 
Wakuu habari za leo? Naomba kujua mshahara wa watu wafuatao atika vyuo vikuu:
1. Admission officer
2. Examination officer
Asanteni sana.
Itategemea na Chuo. Maana kila Chuo kina salary scale yake. Haya sema Chuo gani usiogope.
 
Tengeru Institute of Community development (Registration officer)
Na MUST examination officer
Ninavyojua MUST wanatumia PHTS hapo ukienda umetoka. Kwa degree 1 ni kuanzia 1.4 hivi take home. Kwa maisha ya Mbeya unatoka.
 
Tengeru Institute of Community development (Registration officer)
Na MUST examination officer
Nenda MUST.
Hizi Community development institutions zina salary ndogo kama Halmashauri tu.

MUST ni Chuo Kikuu wako juu kidogo.
 
kaa vizuri na wake zao watakupa siri,au wapo offer ya bia za kutosha wakilewa watakwambia
 
Back
Top Bottom