Naomba kujua matumizi ya mafuta kwenye 4WD na 2WD

Naomba kueleweshwa kuhusu matumizi ya mafuta kati ya 4 Wheel Drive (4WD) na 2 Wheel Drive (WD) vehicles wakati hujaengage hiyo 4WD.
Swali lako lipo general sana mkuu.
Ila kwa gari aina moja zinazotumia engine aina moja. Kama kutakua na utofauti wakati 4wd haijawa engaged utakua ni mdogo sana
Na hiyo nikutokana na uzito uliongezeka kwenye kuweka mfumo wa 4wd
 
Asante. maelezo yamesaidia. Nia ilikuwa kujua tofauti kwa gari ya engine ya ina moja . Moja ya 4wd na ingine iya 2wd (vanguard, harrier, kluger etc)
 
Kwa magari madogo design ya IST utofauti unaweza ukawa mkubwa mfano kutoka 18KM/L (FWD) kwenda 16KM/L (AWD) na hiyo ni kutokana na ongezeko la uzito uliongezeka katika mfumo wa 4WD na hapo ukumbuke AWD ni tofauti kidogo na 4WD.
Jinsi gari linavyokua kubwa na engine inavyokua kubwa utofauti unapungua kwa sababu uwiano wa ongezeko la uzito na uzito wa gari bila 4wd unakua hafifu. Kwa hiyo gari kama harrier utofauti unaweza kutoka 11KM/L (FWD/RWD) kwenda 10.6KM/L (4WD).
Kwa ushauri wangu binafsi kama unalengo la kununua kluger/harrier na unakaa rough road ni heri uchukue lenye AWD/4WD ila kama ni IST/ Vits la FWD linatosha maana hata kama lina AWD ground clearance ya gari mara nyingi haishawishi upite rough road.
 
Many thanks.
 
Back
Top Bottom